Ilikuwa Jumapili ya tarehe 17/07/2011 ambapo aliyekuwa shemasi Godfrid Mulisa wa shirika la Mitume wa Yesu, alipewa daraja la Upadre na Mhashamu Askofu Nestor Timanywa katika Kanisa la Parokia ya Rubya. Zifuatazo ni picha za baadhi ya matukio katika siku hiyo.
Shemasi akila kiapo cha Utii.
Padre mpya (kushoto) akiwa katika picha pamoja na Baba Askofu na
kaka yake Padre Dagobert Bin'Omugabi.
Ni katika sherehe za kumpongeza ambapo Padre mpya anaonekana akikata keki
pamoja na mwakilishi wa Mkuu wa shirika la Mitume wa Yesu
No comments:
Post a Comment