Tunawapongeza wanaBAWA Nuncio Novatus Rugambwa na Msgr. Gosbert Byamungu ambao mwaka huu wanaadhimisha Jubilei ya Miaka 25 katika Upadre. Tunawaombea Mungu awadumishe katika kumtumikia yeye pamoja na watu aliowakabidhi. Haya ni baadhi ya matukio katika mojawapo ya mfululizo wa sherehe za kuwapongeza iliyofanyika tarehe 10.07.2011 katika parokia ya Rubya, anakozaliwa Msgr. Gosbert Byamungu.
No comments:
Post a Comment