KARIBU KWENYE BLOGU YA BAWA

Toa maoni, ushauri, habari, mapendekezo n.k. katika kuboresha BAWA.

Bonyeza sehemu iliyoandikwa comment/maoni kila baada ya post na kisha andika ujumbe wako.

Asante kwa ushirikiano wako.

Monday, September 24, 2012

Monday, April 30, 2012

NYAKUSINGA ASINGIRE, ABA'DIAKONI' MUKAGA OMULI BUKOBA

BAWA yoona nesiima Nyakusinga kubona natugemulira aba'Diakoni' mukaga(6) omu kiro kimoi (29 Aprili,2012). Aba'Diakoni' bonene nitubagiza mahyo, nitubaihukya, kandi nitushuba nitubashabira, nokubagondeza ebyera by'omumaisho. Waitu ekyo mubingire nimukibona, ekyasigara nikukikwata. Omukama wenene alikubeta, abagumeho. Aba'Diakoni' baitu ni baba: Delphinus Rwehumbiza (Kijwire Parish), Ernest Rugakingira (Rukindo), Florence Kamugisha (Rubya), Nicolaus Matungwa (Kashambya), Revocatus Rugaihyura (Buyango) na Wilson Kasigwa( Kasherero). Omwibara lya BAWA, nitwikara tuli banyu buchwichwi. Bya Ishamura, Frt. Almachius Rwejuna.

Sunday, January 1, 2012

Heri ya Mwaka Mpya!


Kwa wanaBAWA na wote wenye mapenzi mema. Tunawatakia Mwaka mpya 2012 wenye fanaka na heri. Jina la mwaka huu ni "WECHONCHE". Kwa maelezo na ufafanuzi juu ya jina hili, jipatie nakala ya gazeti la RUMULI toleo la Disemba, 2011.

Sunday, December 25, 2011

Heri ya Krismas


Tunawatakia wanaBAWA na wote wanaofuatilia hii blog yetu heri na baraka za sherehe hii ya kuzaliwa Bwana.

Sunday, December 11, 2011

Hongera sana Pd. Remigius Rutashubanyuma

Wanaparokia ya Buyango, Jimbo Katoliki la Bukoba, wanayo furaha kubwa kumpokea padre mpya Pd. Remigius Rutashubanyuma mzaliwa wa parokia hiyo aliyepewa daraja la Upadre leo katika Kanisa la Parokia hiyo. Zifuatazo ni picha za kumbukumbu katika tukio hilo muhimu.











Sunday, December 4, 2011

Hongera sana Pd. Samuel Muchunguzi

Ilikuwa furaha na nderemo katika parokia ya Kishogo, Jimbo katoliki la Bukoba alipopadrishwa aliyekuwa Shemasi Samuel Muchunguzi siku ya leo. Zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio katika sherehe hizo za Upadrisho wa Pd. Samuel Muchunguzi.