WanaBAWA tunaungana na Baba Askofu Method Kilaini katika kumbukumbu ya Marehemu mama Asteria Kokutona Kilaini iliyoadhimishwa kwa namna ya pekee leo huko kwao Katoma parish.
Pichani: Baba askofu Method Kilaini akiweka mshumaa kwenye kaburi la mama yake
mpendwa Asteria Kokutona Kilaini mara baada ya ibada ya Misa ya kumwombea
aliyoiongoza yeye mwenyewe akishirikiana na Mhashamu Nestor Timanywa,
Askofu wa Bukoba, Mhashamu Almachius Rweyongeza, Askofu wa Kayanga
pamoja na Mapadre wengi.
No comments:
Post a Comment