KARIBU KWENYE BLOGU YA BAWA

Toa maoni, ushauri, habari, mapendekezo n.k. katika kuboresha BAWA.

Bonyeza sehemu iliyoandikwa comment/maoni kila baada ya post na kisha andika ujumbe wako.

Asante kwa ushirikiano wako.

Saturday, January 1, 2011

HERI YA MWAKA MPYA

Kwa wanaBAWA na wote wenye mapenzi mema. Tunawatakia heri na fanaka katika mwaka huu mpya 2011. Mwaka uliopewa jina "TONGANA". Tunawaomba wote watakaoweza kuchangia mang'amuzi mbalimbali kuhusu jina hili na mwaka huu kwa ujumla wachangie maoni yao. Hii ni katika kuelimishana.

No comments: