Tunawapongeza Mafrateri wanaBAWA
Frt. Deodatus Katunzi (wa pili kutoka kulia) na Frt. Evodius Mwijage (wa tatu kutoka kulia) waliopewa huduma ya utumishi (Acolytes)
Pamoja na Frt. Viator Mujuni (kulia) na Frt. Philbert Mutalemwa (kushoto) waliopewa huduma ya Usomaji (Lectors) leo tarehe 25/01/2011
na Mha. Salutaris Libena, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Tunawatakia kila la heri katika kutimiza majukumu yao.
MWAIHYUKA MUNO!